Maria Magdalena
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya Waorthodoksi inayomuonyesha Maria Magdalena akibeba manemane kwa ajili ya kupaka upya maiti ya Yesu.
Maria Magdalena akiwa amepiga magoti katika kundi la sanamu maarufu kama Stabat Mater; ni kazi ya Gabriel Wuger, 1868.
Maria akiambiwa na mfufuka Noli me Tangere (yaani "Usinishike"); mchoro wa Hans Holbein the Younger, 1524.
Maria wa Magdala kwenye kaburi tupu anavyoonekana katika dirisha la kanisa la Walutheri la St. Matthew huko Charleston, South Carolina, Marekani.
Maria Magdalena alivyochorwa na Ary Scheffer huku akifanya malipizi kadiri ya mtazamo wa karne ya 19.
Maria kadiri ya Gheorghe Tattarescu.
Maria wa Magdala (kwa Kigiriki Μαρία ἡ Μαγδαληνή) ni mmoja kati ya wanafunzi maarufu zaidi wa Yesu wa Nazareti, hasa kutokana na sifa ya kuwa wa kwanza kumuona amefufuka.
Ni kwamba, kadiri ya Injili, baada ya kushuhudia kifo cha Yesu na mazishi yake, upendo na juhudi vilimfanya mwanamke huyo awahi kwenye kaburi lake alfajiri ya siku ya Jumapili. Huko alitokewa na malaika na kuambiwa amefufuka.
Ndiye aliyewapasha habari hiyo mitume wa Yesu kabla hawajaenda kaburini na kulikuta halina maiti.
Baada ya Maria, hao pia walitokewa na Yesu mwenyewe, kuanzia mtume Petro.
Maria Magdalena anahesabiwa mtakatifu katika madhehebu mengi ya Ukristo, akiadhimishwa tarehe 22 Julai.
[hariri] Marejeo
- Acocella, Joan. "The Saintly Sinner: The Two-Thousand-Year Obsession with Mary Magdalene." The New Yorker, February 13 & 20, 2006, p. 140–49. Prompted by controversy surrounding Dan Brown's The Da Vinci Code.
- Brock, Ann Graham. Mary Magdalene, The First Apostle: The Struggle for Authority. Cambridge, Massachusetts: Harvard University Press, 2003. ISBN 0-674-00966-5. Discusses issues of apostolic authority in the gospels and the Gospel of Peter the competition between Peter and Mary, especially in chapter 7, "The Replacement of Mary Magdalene: A Strategy for Eliminating the Competition."
- Burstein, Dan, and Arne J. De Keijzer. Secrets of Mary Magdalene. New York: CDS Books, 2006. ISBN 1-59315-205-1.
- Jansen, Katherine Ludwig. The Making of the Magdalen: Preaching and Popular Devotion in the Later Middle Ages. Princeton, N.J.: Princeton University Press, 2000. ISBN 0-691-05850-4.
- Kripal, Jeffrey John. (2007), The Serpent's Gift: Gnostic Reflections on the Study of Religion, Chicago: The University of Chicago Press, ISBN 0226453804 ISBN 0-226-45381-2.
- Pearson, Birger A. "Did Jesus Marry?." Bible Review, Spring 2005, pp 32–39 & 47. Discussion of complete texts.
- Picknett, Lynn, and Clive Prince. The Templar Revelation. New York: Simon & Schuster, 1997. ISBN 0-593-03870-3. Presents a hypothesis that Mary Magdalene was a priestess who was Jesus' partner in a sacred marriage.
- Shoemaker, Stephen J. "Rethinking the ‘Gnostic Mary’: Mary of Nazareth and Mary of Magdala in Early Christian Tradition." in Journal of Early Christian Studies, 9 (2001) pp 555–595.
- Thiering, Barbara. Jesus the Man: Decoding the Real Story of Jesus and Mary Magdalene. New York: Simon & Schulster (Atria Books), 2006. ISBN 1-4165-4138-1.
- Wellborn, Amy. De-coding Mary Magdalene: Truth, Legend, and Lies. Huntington, Indiana: Our Sunday Visitor, 2006. ISBN 1-59276-209-3. A straightforward accounting of what is well-known of Mary Magdalene.
[hariri] Viungo vya nje
- "Saint Mary Magdalene." Encyclopædia Britannica Online.
- "St. Mary Magdalen", Butler's Lives of the Saints
- The Life of St. Mary Magdalene: Saint of the Christian Church
- St Mary Magdalene, Catholic Encyclopaedia 1911
- Convent of Saint Mary Magdalene
- St Mary Magdalen and the case for the ordination of women in the Catholic Church
- Legends of Mary Magdalene
- The Pesher Technique: The Marriage of Jesus by Barbara Thiering
- Miriam/Myriam M'Gadola: Mary Magdalene
- Articles and more than 40 Paintings
- Early Christian Writings: Gospel of Mary
- Gospel of Mary Magdalene
- Showing inaccuracy of The Da Vinci Code in respect to Mary Magdalene
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maria Magdalena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |