Maria Adolfina Dierk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Maria Adolfina.

Maria Adolfina Dierk (Osendrecht, Uholanzi, 8 Machi 1866Taiyuan, Shanxi, China, 9 Julai 1900) alikuwa sista wa shirika la Wafransisko Wamisionari wa Maria aliyefia dini China alipokuwa mmisionari wakati wa Uasi wa Waboksa.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 119.

Sikukuu yao huadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.