Margerita wa Cortona
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Margerita wa Cortona (Laviano 1247 – Cortona 22 Februari 1297) alikuwa mwanamke wa Italia aliyefanya toba kali katika Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko baada ya kuishi na mwanamume bila ya ndoa kwa muda wa miaka kumi.
Papa Benedikto XIII alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Mei 1728.
Sikukuu yake ni tarehe 16 Mei.
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Catholic encyclopedia: St. Margaret of Cortona
- Eternal Word Television Network, excerpt from "Saints for Sinners"
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Margerita wa Cortona kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |