Orodha ya Marais wa Urusi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Marais wa Urusi)
Kremlin katika Moscow
Ukarasa huu una orodha ya Marais wa Urusi au Shirikisho la Urusi (kwa Kirusi: Президент России):
Marais[hariri]
| Jina | Picha | Muda wa Utawala | Chama | ||
|---|---|---|---|---|---|
| 1 | Boris Yeltsin | 10 Julai 1991 | 9 Agosti 1996 | sio chama (Supported by the Democratic Party of Russia) |
|
| 9 Agosti 1996 | 5 Novemba 1996 | sio chama | |||
| - | Viktor Chernomyrdin (wa mpito) |
5 Novemba 1996 | 6 Novemba 1996 | Our Home – Russia | |
| 1 | Boris Yeltsin | 6 Novemba 1996 | 31 Desemba 1999 (resigned) |
sio chama | |
| - | Vladimir Putin (wa mpito) |
31 Desemba 1999 | 7 Mei 2000 | sio chama | |
| 2 | Vladimir Putin | 7 Mei 2000 | 7 Mei 2004 | ||
| 7 Mei 2004 | 7 Mei 2008 | ||||
| 3 | Dmitry Medvedev | 7 Mei 2008 | sisa | sio chama (Supported by the United Russia) |
|
Tazama pia[hariri]
Viungo vya Nje[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: