Maporomoko ya Kalambo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Maporomoko ya Kalambo

Maporomoko ya Kalambo ni maporomoko ya maji ambayo yapo karibu na mpaka wa Zambia na Ziwa Tanganyika. Maporomoko hayo yanatoka kutoka umbali wa mita 215 na kuyafanya maporomoko hayo kuwa ya pili kwa urefu baada ya maporomoko ya Tugela ya nchini Afrika Kusini ambayo ni ya kwanza kwa urefu Afrika.[1]

Marejeo [hariri]

  1. Vitabu vya Jiografia – Jiografia ya Tanzania

Viungo vya Nje [hariri]