Mannheim
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mannheim | |||
| Kitovu cha mji wa Mannheim | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Mannheim katika Ujerumani | |||
| Anwani ya kijiografia: 49°29′N 8°28′E / 49.483°N 8.467°E | |||
| Nchi | Ujerumani | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Baden-Württemberg | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 311,342 | ||
| Tovuti: www.mannheim.de | |||
Mannheim ni mji wa Baden-Württemberg nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 311,342. Mji ulianzishwa 766.
Tazama pia [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mannheim kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |