Mwembe wa Kalimantan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mangifera casturi)
Mwembe wa Kalimantan
(Mangifera casturi)
Maembe ya Kalimantan
Maembe ya Kalimantan
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Sapindales (Mimea kama mmoyomoyo)
Familia: Anacardiaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mkorosho)
Jenasi: Mangifera
Spishi: M. casturi
Kosterm.

Mwembe wa Kalimantan (Mangifera casturi) au kienyeji unajulikana kama Kasturi ni tunda la mti wa matunda ya msimu wa joto, wenye urefu wa takribani mita 10–30, unapatikana kwenye eneo dogo la Banjarmasin, Kusini mwa Borneo (Indonesia). Siku hizi miti hii imeadimika sehemu za porini kutokana na kukatwa katwa kinyume cha sheria. Hata hivyo bado inalimwa kwa kiasi kidogo katika eneo hili kutokana na utamu wa matunda yake.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwembe wa Kalimantan kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.