Malindi (maana)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Malindi inaweze kutaja maana hizi:
- Malindi mji kaskazini ya Mombasa, Kenya
- Malindi kata katika Wilaya ya Lushoto - Tanga, Tanzania
- Malindi (Zanzibar) kata ya jiji la Zanzibar, mkoa wa Unguja Mjini Magharibi, Tanzania