Majadiliano ya mtumiaji:Salasini

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Muddyb MwanaharakatiLonga 09:40, 21 Novemba 2009 (UTC)[jibu]

Habari, David. Makala husika na kichwa cha habari hapo juu, ni makala ambayo umeandika vizuri sana. You've got my full credit. Imefikia viwango kadhaa hivyo uindeleze - na ukishindwa, basi uliza na utajibiwa. Pia, usisahau kuorodhesha makala zako pindi uanzishapo!--Muddyb MwanaharakatiLonga 09:43, 26 Novemba 2009 (UTC)[jibu]

David, umeona kwamba nimoengeza baadhi ya maelezo na mfumo mwema wa upangaji makala zako! Si vyema kuingilia ukurasa wa mtu, lakini kwa msaada kwa wale waliowapya - ikibidi! Ninajua fika unatafuta njia ya kuweza kunijibu, lakini bado hali ni tete. Basi fungua hapa na utaweza kujibu na kuuliza lolote ulipendalo kwenye ukurasa wako huu-huu wa majadiliano! Hongera tena na tena. Kaza buti.--Muddyb MwanaharakatiLonga 16:48, 26 Novemba 2009 (UTC)[jibu]


Ahsante sana Muddyb Blast. Niliweza kuangalia ukurasa wako wa wikipedia na nimeona kwamba wewe ni mchangiaji mkubwa sana.

Mimi nimeanza tu juzi na bado sina habari yote. natumai kuwa utanisaidia mahali ambapo nina shida ama sielewi.

Kwa hilo usijali. Nipo kwa ajili ya kila mwenye kutaka msaada wa Kiwikipedia! Pia, nimeona kwamba unashindwa kuweka "sahihi" baada ya kuandika ujumbe. Si unaona mimi ninatokea jina langu, nk? Basi ili na wewe litokee, basi weka hivi: --~~~~ mwishoni umalizapo ujumbe wako! Au baada ya kumaliza, bonyeza kitufe kilichoandika kama SAHIHI hivi. Jioni njema.--Muddyb MwanaharakatiLonga 15:56, 27 Novemba 2009 (UTC)[jibu]


nimeona hilo, sasa ninataka kuweka picha kwenye akaunti yangu na pia kwenye makala ninayoandika.nitafanyaje? --Salasini (majadiliano) 16:26, 27 Novemba 2009 (UTC)[jibu]

David, salam. Unataka kupakiza picha yako? Ikiwa hivyo, basi fungua hapa. Pili, hairuhusiwa kupakiza picha yako binafsi kwenye makala unazoandika! Ila tu, picha kuna kuwa na shida ya hatimiliki. Usipakize picha za watu bila kuitolea maelezo - itafutwa! Uliza kingine, kaka.--Muddyb MwanaharakatiLonga 13:40, 28 Novemba 2009 (UTC)[jibu]