Majadiliano ya lango:Sanaa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigezo cha Browsebar[hariri chanzo]

Lazima kuweka kigezo hicho sawa. Hakijaandikwa. --Baba Tabita (majadiliano) 08:45, 23 Oktoba 2009 (UTC)[jibu]

Haya, Baba Tabita, kigezo kimeumbwa tayari. Ila bado kuna viungo vyake vingi havijaingiziwa milango yake! Wasalaam!--Muddyb MwanaharakatiLonga 12:44, 23 Oktoba 2009 (UTC)[jibu]