Majadiliano ya kigezo:Mbegu-igiza-filamu-USA

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nimehaha sana katika kuandika kigezo hiki katika makala ya Bogart - na ndiyo maana umeona nimeweka kile cha zamani. Si msaada sana ikiwa maandishi yake ni ya utata. Akheri tuelekeze kigezo kwa {{mbegu-mwigizaji-USA}} itakuwa afadhali. Humu katika Wikipedia yetu hatuna habari nyingi kuhusiana na uigizaji aina tofauti. Zaidi tutaandika kuhusu waigizaji wa filamu tu. Sijui unaonaje hilo?--Muddyb MwanaharakatiLonga 13:35, 22 Agosti 2009 (UTC)[jibu]