Majadiliano ya Wikipedia:Ukubwa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bado unaendelea kuchangia bila jina mpaka sasa. Tunafurahia michango yako, lakini mengi ina kasoro za kisarufi na kadhalika. Si tatizo iwapo tutawasiliana kwanza halafu tutaangalia ustaarabu mwingine. Tafadhali ujisajili.--MwanaharakatiLonga 06:23, 13 Desemba 2010 (UTC) [jibu]