Majadiliano:Zen

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kuna jambo sijaelewa wakubwa zangu, kidogo. Ukisoma: https://en.wikipedia.org/wiki/Zen unaona Ujapani wamepokea tu huu utaratibu na kuuita kwa jina lao ambalo ni Kanji. Hata kama Wajapani waliendeleza, lakini pia haifai kutaja mwanzilishi sehemu ya pili! Asili ya uabudu wa aina hii ni China. Basi mwandishia ngeanza na Uchina kisha mwendelezo wa nchi nyingine. Nitafanya hivyo mkiridhia! Wenu, Muddyb, au--MwanaharakatiLonga 04:32, 12 Mei 2014 (UTC) [jibu]