Majadiliano:Umoja wa Muungano wa Afrika

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala hii haifai kuunganishwa na "Muungano wa Afrika". Umoja huu ulikuwa shirika la kimataifa, lakini makala ile inahusu harakati ya kujenga umoja wa Afrika. --Kipala (majadiliano) 22:23, 7 Agosti 2010 (UTC)[jibu]