Majadiliano:Ufufuko

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ninapendekeza kuhamisha makala hii kwenda "ufufuo". Hii ni Kiswahili cha kawaida (naamini sanifu pia) nikihisi ya kwamba "ufufuko" ni Kiswahili cha kimadhehebu. Nimeangalia kamusi za TUKI naona hapa ni vile pia. Kipala (majadiliano) 20:23, 13 Machi 2011 (UTC)[jibu]