Majadiliano:Ubuddha

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala hii inahitaji uhariri. Inaonekana mwandishi amependa sana mafundisho ya Buddha. Lakini hapo ni Kamusi Elezo na makala zake zinahitaji kueleweka pia kwa watu wasiomamwamini Buddha (au: Mohammed, Yesu na watakatifu wengine). Nimehariri kidogo na kubadilisha kipengele kuhusu safari nne za Siddharta. Halafu nikbadilisha neno "Buddha" kwa "Siddharta" hadi usiku wake wa kuamka kiroho chini ya mti. Nisipokosei Wabuddha wakubaliana ya kwamba anastahili kuitwa "Buddha" kuanzia hapo - neno "Buddha" lataja hali ya kuamka kiroho katika mafundisho yao si jina. Uhariri ya ziada unahitajika. Lakini nashukuru kwa kuweka chanzo. --Kipala 12:19, 14 Februari 2007 (UTC)[jibu]