Majadiliano:Orodha ya makabila ya Kenya

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nani awemo au asiwemo[hariri chanzo]

Naona ugumu kuorodhesha makabila yanayotajwa halafu kuwaacha "wakimbizi" au "wahamiaji". Watu kama Waarabu wa pwani wanaonekana ni wa asili tofauti kuliko wana uhusiano na Uarabuni. Lakini wote wamahamia Kenya: Wabantu wana asili katika Afrika ya Magharibi. Makabila yanayotajwa wana histioria ya miaka mamia kadhaa. Inajulikana ya kwamba Waniloti kama Waluo walifika Kenya tangu miaka 200 - 300. Lakini Waarabu wamejulikana kwenye pwani za Kenya tangu miaka 1000. --Kipala 21:16, 3 Desemba 2006 (UTC)[jibu]