Majadiliano:Nta ya sikio

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Nta za sikio)

Why leave Latin quotations in English? :) --Federico Leva (BEIC) (majadiliano) 10:29, 7 Novemba 2014 (UTC)[jibu]

Kwa nini nta 'za' sikio?[hariri chanzo]

Sifahamu kwa nini unasema nta 'za' sikio. Kitu kinachotoka sikio ni kitu kimoja tu, kwa hivyo nadhani kwamba nta 'ya' sikio ni bora. Wamitila na Kyallo (2005) wanakubaliana na mimi. ChriKo (majadiliano) 23:25, 8 Agosti 2015 (UTC)[jibu]