Majadiliano:Mpako wa wagonjwa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samahani kidogo. Hii ni "Mpako" au Upako? Mara nyingi nasikia wakiita Upako na si Mpako! Sijui kwa upande wenu wakubwa--Mwanaharakati (Longa) 09:21, 24 Desemba 2008 (UTC)[jibu]

Ni kweli kwamba baadhi ya madhehebu, hasa ya Kilokole, yanaweza yakasema Upako, lakini hawana sakramenti hii ya wagonjwa. Sisi ambao tunayo tunaiita Mpako, na nadhani ni sahihi zaidi. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:09, 25 Desemba 2008 (UTC)[jibu]
Hapo sawa. Nilikuwa sijui kama mnataratibu tofauti! Nilifikiri yote ni sawa ilhali sisawa, basi endelea tu ndugu--Mwanaharakati (Longa) 05:36, 27 Desemba 2008 (UTC)[jibu]