Majadiliano:Mkoa wa Tanga

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Untitled[hariri chanzo]

Nashukuru kwa kuweza kumaliza kata zilizopo za Mkoa huu wa Tanga. Lakini pia nasikitika kusema kuwa Wilaya za Tanga zimeongezwa. Hivyo hazipo saba tena, bali zipo nane!!! Mimi nimeishia Kilindi kwa mujibu wa sensa za mwaka wa 2002. Sasa sijui kuhusu hilo jina jipya wanaliitaje! Je, kuna anayefahamu hiyo Wilaya mpya inaitwaje?--Mwanaharakati (Longa) 13:43, 20 Desemba 2008 (UTC)[jibu]