Majadiliano:Mkoa wa Dar es Salaam

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Untitled[hariri chanzo]

Nimefuta "Hapo zamani jiji hili lilijulikana kwa jina la Mzizima" - jiji haliwahi kuitwa Mzizima. Mzizmia ilikuwa kijiji katika eneo Daressalaam ilipoanzishwa na Sultani wa Zanzibar. Swali hili liingine katika makala ya mji, si ya mkoa. --Kipala 16:16, 28 Aprili 2006 (UTC)[jibu]

kuhusu umeme[hariri chanzo]

ningependa kuulizia kuhusu tatizo la umeme mbona limekuwa kero sana? (tar. 4 Julai 2011 na 41.217.202.13 )

Ukiwa na habari za hakika na maana ongeza katika makala! --Kipala (majadiliano) 05:51, 6 Julai 2011 (UTC)[jibu]