Majadiliano:Mlasisimizi Mkubwa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Mhanga Mkubwa)

"Mhanga mkubwa" ni tafsiri sisisi ya "giant anteater", lakini kama mkitumia neno la "kiharara" (mnyama mkubwa afananaye na mhanga), nitakubali. Mna fikira zingine?Mjanja (majadiliano) 14:38, 1 Agosti 2011 (UTC)[jibu]

You gotta be kidding me, man? What was that? You really rock my world, mate, for that improvement. Si mbaya, lakini kama nilivyosema hapo awali - ni afadhali ChriKo atie mkono wake halafu sie wengine tutafuatia! Unaonaje? Au una haraka sana?--MwanaharakatiLonga 16:04, 1 Agosti 2011 (UTC)[jibu]