Majadiliano:Mahari

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala inakosea kichwa[hariri chanzo]

Hii ni tafsiri ya makala ya wikipedia ya Kiingereza kuhusu "Dowry". Tafsiri hii kama "mahari" inakosa maana ya neno la Kiswahili na maelezo yake ni kinyume chake. Mahari kwa Kiswahili ni mali inayotolewa upande wa Bwana arusi kwa familia ya bibi arusi. Inayoelezwa hapa ni desturi kati ya watu wa Ulaya na Uhindi ambako bibi arusi inaleta mali katika ndoa. "Mahari" ya Kiswahili huitwa "bridewealth" au "brideprice" kwa Kiingereza. --Kipala (majadiliano) 14:54, 23 Desemba 2009 (UTC)[jibu]