Majadiliano:Lugha za Kibantu

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salaam, naomba angalia Kibantu, lugha - labda kuna kitu (historia ya uenezi??) kinachoweza kuingia katika makala yako mapya.

Matt: baada ya kuunganisha makala heri kufuta maandishi ya makala yangu lakini tuiache kama ukurasa wa "Redirect" kwa sababu kuna tayari viungo kwa kurasa za lugha mbalimbali... --Kipala 22:34, 1 May 2006 (UTC)

Samahani. Niliangalia lakini sikufaulu kugundua makala yako. Nitajitahidi kuwa makini zaidi mara ijayo ... --Oliver Stegen 22:42, 1 Mei 2006 (UTC)[jibu]
Si kitu. Kinachosaidia ukikumbuka kuweka viungo kwa malugha mengine kila safari; inapunguza kazi ya Matt (anayenyoshanyosha makala baadaye..) pia inakuonyesha ya kwamba kuna kiungo cha Kiswahili tayari - kama kipo utaona kiungo cha sw mwishoni ... Hivyo jinsi nilivyotambua mimi, sijakumbuka tena ya kwamba nilikuwa nimeshaandika kitu kidogo. Lakini mielekeo ya makala ni tofauti kidogo, kwa hiyo napendekeza chukua kile unachopenda kutoka makala nyingine halafu futa maandishi mengine uweke "#REDIRECT Lugha za Kibantu" --Kipala 22:50, 1 May 2006 (UTC)
Pole sana lakini sijaelewa (ich bin kein Computer-Freak oder Programmierer). Kwa sasa nitafuata orodha yako ya "makala za msingi" na kuzitafsiri kutoka Wikipedia ya Kiingereza. Nitaanza kesho tena. Kwa leo nasema 'Usiku mwema'! Oliver Stegen 22:56, 1 May 2006 (UTC)

Wait a second![hariri chanzo]

Shouldn't this be at Lugha za Watu? Is the current title standard in Kiswahili? 195.189.142.227 20:34, 22 Januari 2007 (UTC) en:User:Zyxoas[jibu]

It's correct as it stands. In standard Swahili, Lugha za Kibantu is "Bantu languages" (which are described in the article) whereas Lugha za Watu would be "natural languages" (literally "people's languages") as opposed to "artificial languages" for both of which we don't yet have an article. --Oliver Stegen 20:48, 22 Januari 2007 (UTC)[jibu]

Okay, perfect! Great job with the Wikipedia, guys! 195.189.142.171 16:09, 25 Januari 2007 (UTC) en:User:Zyxoas[jibu]

Ú ulwimu lúé siZulu![hariri chanzo]

Ú ulwimu lúé siZulu ngû ulwimu ó lú chuluñwa ngā abântu á bâh cela kúì zigidi é zi ngû 35 (35 million) é māNingizimu yé Ingabade kú amáizwe â zybiza ngē SADC. Sarchile (majadiliano) 11:24, 6 Januari 2019 (UTC)[jibu]