Majadiliano:Lola Pagnani

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kufuta??[hariri chanzo]

Kigezo cha "Futa" kimewekwa kwenye ukurasa huu bila maelezo kwenye ukurasa wa majadiliano wala kwenye ukurasa Wikipedia:Makala kwa ufutaji. Inaonekana mchangiaji Orlando hajui Kiswahili. Naondoa kigezo. --Kipala (majadiliano) 11:06, 26 Januari 2009 (UTC)[jibu]

Hata namimi sijui kwanini huyu mjomba anasifa ya kupenda kutaka baadhi ya makala zifutwe. Anaonekana kama ana sababu za binafsi. Hebu soma hiki alichokiandika hapo awali:
Probably autopromotion spamming beyound significance. She has an wp-article in 43 languages, even though she has hardly played outside Italy. In comparision Roberto Benigni appears in.

Mwishowe anaonekana kumkubali ya kwamba huyu anajulikana, lakini sio kivile. Bado si sababu ya kuifanya makala hii iwe vanished! Kingine: huko kwenye Wikipedia kwa Kiingereza, weshamchoka na mtindo wake wa kupendekeza makala zifutwe - na pia hajaweka deletion tag kama hii kwenye makala yenye jina sawa na la kwetu kule kwenye Wikipedia kwa Kiingereza ambamo ni rahisi watu kutekeleza amri ya kufuta makala, iweje hapa? Majibu sipati na huenda akawa na mambo yake binafsi. Napendekeza makala ibaki. Sijui wakubwa mnasemaje?--Mwanaharakati (Longa) 11:32, 26 Januari 2009 (UTC)[jibu]

Ibaki. Kama mmoja wetu ameamua kuandika basi! --Kipala (majadiliano) 21:39, 29 Januari 2009 (UTC)[jibu]