Majadiliano:LaShawn Merritt

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ndugu, unaanza kuandika makala bila kuweka maelezo ya mwanzo kabisa ya makala - badala yake, unayaandika kwenye "WASIFU" au "HISTORI". Ndugu, huu si utaratibu na mpangilio/muundo wa makala za kamusi elezo ya wikipedia. Kila makala inabidi iandikwe kama jinsi inavyotakiwa. Mfano:

LaShawn Merritt (amezaliwa 27 Juni, 1986) ni mwanariadha kutoka nchini Marekani, ambaye amebobea katika mbio za mita 400.

Halafu tena hizo JAMII. Sio lazima kuweka rundo la jamii kama jinsi unavyofanya, la. Unaweza kuweka jamii tu kama vile Jamii:Wanariadha wa Marekani, Waliozaliwa... Watu Walio Hai, basi. Wanariadha wa nchi fulani inatosha - kuliko kujaza mijamii kibaoooo ambao haina hata mwelekeo. Jitahidi ufuate hivi ndugu. Kila la kheri.--MwanaharakatiLonga 17:09, 21 Januari 2010 (UTC) [jibu]