Majadiliano:Kunona

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ninapendekeza jina la makala libadilishwe na kuwa "unene" kwa sababu lugha ya kunona ni kama ya mshangao hivi kwa Kiswahili. Mfano, he! yule jamaa kanona huyo - ikiwa na maana mambo yake safi, lakini unene inataja maana zote za mwenye fedha na asiye na fedha!--MwanaharakatiLonga 10:17, 11 Juni 2010 (UTC) [jibu]