Majadiliano:Kata ya Muhinda

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

KATA YA MUHINDA. Hii ni kata inayopatikana eneo la Manyovu kutokea kigoma mjini barabara ya Mwandiga-Manyovu ambapo kumeanzishwa Wilaya ya Manyovu-Buhigwe barabara ya Munanila-kasulu mjini.Ina wakazi wapatao 28550 hata kuzidi makao makuu ya wilaya ya Buhigwe kwa mjibu wa sensa ya mwaka 2002 Katika kuangalia maeneo mengi ukanda huu ni wa mvua nyingi muda wote wa kipindi cha masika.Ni eneo la kiikwetolio ktk Africa. kilimo cha kahawa ni maarufu eneo zima la MANYOVU,ikiwemo,Kalinzi,mkabogo,matyazo,MUHINDA,MWAYAYA,MUNANILA,NYAKIMWE,KITAMBUKA,KIBWIGWA,MUKIGO,NYARUBANDA,KALINZI,wenyeji hupaita (CHALINZE au MBEYA, ARUSHA,BUKOBA,KILIMANJARO ya MANYOVU BUHIGWE) Picha:KATA YA MUHINDA .MADHEHEBU MAKUU NI MAWILI. UKRISTO NA UISLAM. Ukristo ndio wenye asilimia kubwa,kwani kuna,ukatoliki,Anglican,Sabato,PAG,TAG,EAGT,PEFA,MOROVIAN,FPTC, Uislam,kuna Soon,Shia and habia. Madhehebu haya mawili wanamwabudu Mwumba wa mbingu na nchi,Yehova Mungu wa kweli wa wanadamu wote.