Majadiliano:Henry Oliver Rinnan

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Naomba nisaidiewe kuhoanisha maelezo:

Wakati wa Vita Baridi, Rinnan alijaribu kujiorodhesha katika mapigano ya Finns dhidi ya Umoja wa Kisovyeti, lakini akakataliwa kujiunga kwa kuwa alikuwa andunje. Wakati wa kampeni za Wanorwei za mwaka wa 1940, alikuwa dereva wa gari kubwa la Jeshi la Norwei. Kwa mujibu wa Rinnan, akaamua kujiunga na kundi la Gestapo mnamo mwezi Juni wa mwaka wa 1940.

Kuanzia mwezi wa Septemba katika mwaka wa 1943, Rinnanbanden ikawa na kituo chake kikuu mjini Jonsvannsveien 46 katika Trondheim, ilijulikana kama Bandeklosteret ("sehemu ya majambazi"). Alifanya kazi kwa karibu sana na kikosi cha ulizi cha Kijerumani (German Sicherheitspolizei) cha mjini Trondheim, ambapo alikuwa akiwasiliana sana na Bw. Gerhard Flesch na Walter Gemmecke.

Wanachama wa Sonderabteilung Lola walitiliwa wanarakati wa ulizi wa Norwei kwa kuwarubuni watu kwa mazungumzo katika mabasi, matreini, migahawa, n.k., juu ya kuwapa watu moyo wa kuzungumzia habari kuhusu mwelekeo wao Kinazi na shabaha zake.

Walijitambulisha mbele ya watu na kuelezea fikra zao juu ya ulinzi, kwamba wataonyesha uaminifu wao na kupanua mitandao yao.


Malezo yaliyobakia

Their efforts resulted in more than a thousand arrests, compromised several hundred resistance groups, and in some cases, lured people to perform missions for the Nazis. Rinnan operated with impunity and little interference from their Nazi taskmasters, often using murder and torture as sanctioned means.


In the course of two trials after the war, 41 members of the Rinnan band were tried and sentenced. Eleven were sentenced to execution by firing squad by the court of Frostating on September 20, 1946. Seven of the death sentences were carried out. Eleven were sentenced to lifelong forced labour (later pardoned) while the rest were given long prison sentences. The Rinnan band was responsible for the death of at least a hundred people in the Norwegian resistance and the British Special Operations Executive, while several hundred were tortured and more than a thousand resistance members were arrested.

Rinnan was sentenced for personally murdering 13 people, but the real number is probably higher. Four hours after midnight on February 1, 1947, Rinnan was taken from his cell in Kristiansten Fortress. A guard blindfolded him and led him outside, where he was tied to a pole. At 04:05, Rinnan was executed by firing squad.

Rinnanbanden was so notorious that 40 percent of the people executed in the trials in Norway after World War II were connected to Sonderabteilung Lola.