Majadiliano:Hakuna Starehe Tena

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Majina maalumu ni pamoja na riwaya, muziki, filamu, na kadhalika. Makala yanahitaji kutazamiwa upya. Tafadhali rejesha jina kamili la makala kama jinsi kitabu kinavyoitwa!--MwanaharakatiLonga 17:10, 25 Januari 2010 (UTC) [jibu]

Haya, nimejaribu kuperuzi kwenye makala ya Chinua Achebe nimeona wengine wametafsiri. Si kitu. Tumia jina hilili, lakini ondosha mabano ya Kiingereza. Kwa kufuata uandishi ule, basi maneno ya Kiingereza huwekwa kwenye mabano ndani ya makala na si katika jina moja kwa moja.--MwanaharakatiLonga 17:20, 25 Januari 2010 (UTC)[jibu]