Majadiliano:Go-Komyo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tarehe ya kufariki kwake[hariri chanzo]

Katika makala yake ya wikipedia ya Kiingereza, tarehe yake imetajwa kuwa 30 Oktoba, 1654. Lakini katika makala ya mdogo wake Go-Sai, inasema kwamba alifariki tarehe 5 Januari, 1655. Nimenakili tofauti hizo katika makala hizo mbili. --Oliver Stegen 11:01, 28 Julai 2007 (UTC)[jibu]