Majadiliano:Gamalieli

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala kuhusu 'Gamaliel' katika lugha nyingine kama vile Kiingereza au Kijerumani zinamhusu yule Mfarisayo katika Agano Jipya, siyo huyo kiongozi katika Agano la Kale. Ndiyo sababu ilinibidi kuondoa viungo vya hizo lugha nyingine. --Oliver Stegen 20:17, 8 Septemba 2006 (UTC)[jibu]