Majadiliano:Dunia

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ihamishwe "Dunia"[hariri chanzo]

Sababu: Ardhi si sayari, neno kwa kawaida humaanisha nchi kavu. Kamusi ya Kiswahili sanifu ya TUKI inataja "sayari" kama maana ya pembeni kwa ardhi lakini "dunia" kuwa ulimwengu; Kamusi ya Kiing-Kisw. ya TUKI inataja wazi kabisa "earth" ni "dunia".

Nasubiri siku moja kama wenzangu wanaona sababu nzuri kupinga hoja. --Kipala 11:45, 12 Februari 2006 (UTC)[jibu]

Kwa nini umefuta neno "nchi"? Ndilo jina la Kibantu katika lugha nyingi za jamii hiyo. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:47, 15 Desemba 2019 (UTC)[jibu]

Kiarabu[hariri chanzo]

@Kipala and Holder:

Tafadhali ongeza matamshi ya Kiarabu. دنيا ni dunyaa.

Kwamikagami (majadiliano) 04:25, 30 Novemba 2021 (UTC)[jibu]