Majadiliano:Dinosauri

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nimerudisha "reptilia" kama jina la ngeli badala ya "sauropsida". Mimi si mtaalamu lakini nikiangla makala zake kwa en:wiki nona "sauropsida" ni jina nje ya muundo wa uainishaji. Kinyume chake wiki nyingine zinaonyesha reptilia kwa ngeli. Kipala (majadiliano) 10:59, 19 Januari 2011 (UTC)[jibu]