Majadiliano:Dhambi ya asili

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nilikuwa nimeanzisha ukurasa Dhambi ya asili ili ku-redirect kwenye ukurasa huu Dhambi ya Asili, lakini Kipala ameufuta. Mambo ni mawili: au tuuandike tena, au tusogeze ukurasa huu ili upatikane: si rahisi mtu kuutafuta kwa kuandika Asili kwa herufi kubwa --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:07, 23 Novemba 2009 (UTC)[jibu]

Haya, fanya uonavyo ni sahihi. Ukitaka kusogeza,sawa, ukitaka kuilekeza pia sawa! Mengineyo: nimeona makala hii haitaji dhambi ya asili ni nini? Makala nyingi zinaanza namna hii. Dhambi ya Asili ni jinsi-kadha-kadha na ni.... Hapo je?--Muddyb MwanaharakatiLonga 09:32, 23 Novemba 2009 (UTC)[jibu]