Majadiliano:Dayosisi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuelewane juu ya masahihisho[hariri chanzo]

Mabadiliko katika sentensi ya kwanza yanaonyesha mafundisho ya kanisa katoliki tu; naona turudishe maneno ya awali kwa sababu haifai kwa Waluteri. Kwa Waanglikana sina uhakika lakini nadhani hata hapa ni zaidi kitengo cha kieneo. Sehemu ya mwisho juu ya kanisa katoliki inahitaji sentensi inayojumlisha kwa sababu maneno yanayofuata ya "Christus Dominus" hayaeleweki kwa msomaji wa kawaida. Kama sentensi niliyoandika si vizuri naomba uweke nyingine. --Kipala (majadiliano) 23:03, 13 Machi 2009 (UTC)[jibu]