Majadiliano:Chama cha Wananchi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

A alaykum napendelea kufahamu ya kwamba kuhusu vyama vingi,khawsa kwa vyama ambavyo vimesajiliwa kuanzia miaka ya tisini vinamkakati gani wa kulisaidia Taifa letu kiuchumi,kwa sababu limekuwa ni tatizo kubwa katika nchi yetu hayo.Kwa sababu nchi yetu inarasmali nyingi itakuwaje iwe ni katika nchi masikini,Tafa dhali viongozi kuweni na uchungu na nchi yenu,kwa nini ninasema hivi kwa sababu wanao faidika na rasmali zetu ni wageni kwa hiyo tuliangalie hilo.Nawaombeeni kwa muumba awawezeshe kulifanyia kazi hilo.