Mainz
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Mainz | |||
| Kitovu cha mji wa Mainz | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Mainz katika Ujerumani | |||
| Anwani ya kijiografia: 50°0′N 8°16′E / 50°N 8.267°E | |||
| Nchi | Ujerumani | ||
|---|---|---|---|
| Majimbo | Rhine-Palatino | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 200.957 | ||
| Tovuti: www.mainz.de | |||
Mainz (Kilatini: Mogontiacum) ni mji mkuu wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 200.957.
Tazama pia [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mainz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |