Magnus Mwalunyungu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Magnus Mwalunyungu (amezaliwa 25 Agosti 1930) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka wa 1992. Tangu mwaka huo hadi 2005, alikuwa askofu wa Jimbo la Tunduru-Masasi, alipostaafu.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Magnus Mwalunyungu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |