Maginetiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Maginetiti kutoka Afrika Kusini

Maginetiti ni madini yenye rangi nyeusi-kijivu yenye tabia ya sumaku. Kikemia ni oksidi ya chuma yenye valensi za 2+ na 3+. Fomula yake ni Fe3+2Fe2+O4.

Inatokea mara nyingi kwa umbo la fuwele zenye urefu wa karibu sentimita 1 na kona 8. Kiwango cha feri (chuma) hufikia asilimia 72 kwa hiyo ni malighafi muhimu kwa kutengeneza chuma.

[hariri] Viungo vya Nje

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine