Mafinga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kata ya Mafinga | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Iringa |
| Wilaya | Mufindi |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 33,669 |
Mafinga ni mji wa Wilaya ya Mufindi katika Mkoa wa Iringa, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 33,669 waishio humo. [1]
Mafinga iko kando la barabara ya TANZAM. Wakati wa ukoloni iliitwa "John`s Corner".
Marejeo[hariri]
- ↑ 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-03-18.
| Kata za Wilaya ya Mufindi - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Bumilayinga | Idunda | Ifwagi | Igombavanu | Igowole | Ihalimba | Ihanu | Ihowanza | Ikweha | Isalavanu | Itandula | Kasanga | Kibengu | Kiyowela | Luhunga | Mafinga | Makungu | Malangali | Mapanda | Mbalamaziwa | Mdabulo | Mninga (Mufindi) | Mpanga Tazara | Mtambula | Mtwango | Nyololo | Rungemba | Sadani |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mafinga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |