Madilu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kata ya Madilu
Nchi Tanzania
Mkoa Iringa
Wilaya Ludewa
Idadi ya wakazi
 - Mji 9,259

Madilu ni jina la kata ya Wilaya ya Ludewa katika Mkoa wa Iringa, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 9,259 waishio humo. [1]

Mazao yanayolimwa katika kata ya Madilu ni mahindi, maharage, njegere, viazi vitamu, viazi mviringo, ngano, ndizi, nyumbu, mbaazi na matunda mbalimbali. Msitu wa mdandu ni rasilimali ya mbao kutokana na miti mbalimbali. Wakazi wa kata hii hupanda sana miti ya misonobali kwa ajili ya mbao laini. Mifugo inayopatikana ni ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku na bata. Kuna shule ya sekondari inayoitwa Madilu Secondary School.

Marejeo [hariri]

  1. 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Rudishwa juu ya 2008-08-21.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Ludewa - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Ibumi | Iwela | Kilondo | Luana | Ludende | Ludewa | Lugarawa | Luilo | Lumbila | Lupanga | Lupingu | Madilu | Madope | Makonde (Ludewa) | Manda (Ludewa) | Masasi (Ludewa) | Mavanga | Mawengi | Milo | Mkomang'ombe | Mlangali (Ludewa) | Mundindi


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Madilu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.