Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka MIT)
Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts (Massachusetts Institute of Technology MIT) ni chuo maarufu nchini Marekani kilichopo kwenye mji wa Cambridge karibu na Boston katika mashariki-kaskazini ya nchi. MIT ina vyuo sita ndani yake na idara 32.[1] Mkazo wake ni utafiti wa sayansi na teknolojia.
Wanavyuo wa MIT wamepokea tuzo nyingi pamoja na tuzo za Nobel 63.[2][3].
Yaliyomo |
Viungo vya Nje [hariri]
- MIT Tovuti rasmi ya MIT
- MyMIT Ukurasa wa kupokea wanafunzi
- MIT Alumni Association
Vyanzo [hariri]
- MIT OpenCourseWare, Free online publication of nearly all MIT course materials
- The Tech, student newspaper, the world's first newspaper on the web
- Tech Talk, MIT's official newspaper
- Technology Review, alumni magazine
- MIT Press, university press & publisher
Ramani [hariri]
- MIT Maps
- Early Maps of both the Boston and Cambridge Campuses maintained by MIT's Institute Archives & Special Collections
Marejeo [hariri]
- ↑ MIT Facts 2007: Academic Schools and Departments, Divisions & Sections. Rudishwa juu ya 2007-02-14.
- ↑ "Three from MIT win top U.S. science, technology honors", MIT News Office, 19 Julai 2007. Retrieved on 2007-07-20.
- ↑ MIT Office of Provost, Institutional Research. MIT MacArthur Fellows. Rudishwa juu ya 2006-12-16.
| Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |