Mülheim an der Ruhr
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mühlheim a. d. Ruhr)
| Mülheim an der Ruhr | |||
| Kitovu cha mji wa Mülheim an der Ruhr | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Mülheim an der Ruhr katika Ujerumani | |||
| Anwani ya kijiografia: 51°26′N 6°53′E / 51.433°N 6.883°E | |||
| Nchi | Ujerumani | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia | ||
| Idadi ya wakazi (2009) | |||
| - Mji | 167,471 | ||
| Tovuti: www.muelheim-ruhr.de | |||
Mülheim an der Ruhr (Mülheim a. d. Ruhr) ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Ruhr. Idadi ya wakazi wake ni takriban 167,471. Mji ulianzishwa 1093.
Tazama pia[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mülheim an der Ruhr kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |