Luvironza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Luvironza wenye chanzo chake katika mlima Luvironza

Luvironza ni jina la mlima mkubwa wa Burundi na pia jina la mto wenye chanzo chake huko mlimani.

Mlima Luvironza una kimo cha m 2,700 juu ya UB uko kilomita 45 upande wa mashariki wa Ziwa Tanganyika.

Mto Luvironza unaanza hapo ambapo hutazamwa kuwa ni chanzo cha mbalizaidi cha Nile. Mto huu una mwendo wa km 110 hadi kuishia katika mto Ruvuvu ambao ni tawimto la Kagera. Tahajia nyingine ya jina lake ni Mto Ruvyironza.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Luvironza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.