Luniz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Luniz
Pia anajulikana kama The Luniz
Asili yake Oakland, California
Aina ya muziki Hip hop
Miaka ya kazi 1995 - mpaka sasa
Studio Noo Trybe
Virgin
Rap-A-Lot
Ball or Fall
Wanachama wa sasa
Yukmouth
Numskull


The Luniz ni kundi la wasanii wawili waliouza-platinamu kadhaa kwa ajili ya rap kutoka mjini Oakland, California. Kundi lilianzishwa na marapa wawili ambao ni Yukmouth na Numskull. Wamepata kutoa kibao chao chenyewe mafanikio makubwa hapo mnamo mwaka wa 1995, "I Got 5 on It", matoleo mawili ya kibao hicho yameonekana katika albamu yao ya Operation Stackola. Toleo la tatu la kibao hicho, kinashirikisha baadhi ya marapa wengine wa Oakland kama vile Dru Down, Shock G, Richie Rich, E-40, na Spice 1 na mara nyingi hupata kwenye Internet kama Bay Area Ballas Remix, pia ilipata kuwika kwenye maredio. Luniz pia walikuwa wanataka kushirikishwa kwenye kazi ya Tupac Shakur ya One Nation. Kwa kufuatia kifo cha Shakur albamu haikuweza kutolewa tena.

Mgogoro[hariri | hariri chanzo]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu zao[hariri | hariri chanzo]

Kompilesheni[hariri | hariri chanzo]

Single zao[hariri | hariri chanzo]

  • "I Got 5 on It" (1995)
  • "Playa Hata" (1995)
  • "Jus Mee & U" (1997)
  • "Hypnotized" (1998)
  • "Oakland Raider" (2002)
  • "A Piece of me" Feat. Fat Joe + Joshua T (2004)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luniz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.