Lugha za Kisonghai
Lugha za Kisonghai ni kundi la vilugha vyenye uhusiano karibu sana zinazotumiwa na wasemaji takriban milioni 3 nchini kadhaa mwa Afrika ya magharibi.
Usambazaji wa Kijiografia [hariri]
Lugha za kisonghai zinasemwa katika upande za Mto wa Niger nchini mwa Mali, Niger, Benin, Burkina Faso, na Nijeria. Awali, inapokuwa eneo hiyo chini ya utawala wa Dola la Songhai,lugha hizo zimekuwa kutumiwa kama lugha ya mawasiliano katika sehemu kubwa sana.
Uhusiano wa kinasaba [hariri]
Uhusiano wa kisonghai na lugha zingine ni ngumu sana kuthabitisha kwa kuwa maneno mengi yenye asili nyingi mbalimbali.
Viambishi ni mofimu au viungo vyenye maana ambavyo hufungamanishwa na mzizi/shina la neno ili kulipa neno hilo maana mbalimbali za kisarufi kama vile nafsi, wakati, hali, urejeshi, n.k Viambishi awali ni vile vinavyotangulia mzizi wenyewe, yaani huwa kabla ya mzizi/shina. SHINA AU MZIZI: Hakuna tofauti kati ya shina na mzizi MZIZI/SHINA, Ni sehemu ya neno inayobeba maana yake kuu na huwa haibadiliki, Kwa mfano, tuangalie vitenzi vifuatavyo: a-na-LIM-a wa-li-LIM-i-a ni-ta-LIM-iw-a wa-na-vyo-LIM-a Ukiangalia kwa makini, utaona kuna sehemu ya kitenzi hiki ambayo haibadiliki katika mifano ya hapo juu. Sehemu hiyo ni (-LIM-). Na hii ndiyo shina au mzizi wa kitenzi LIMA. Mfano mwingine: a-li-ki-SOM-a hu-SOM-ew-a wa-li-SOM-e-an-a a-li-m-SOM-e-a i-li-SOM-w-a Tunaona hapa mzizi/shina la kitenzi SOMA, ni -som- Ili utambue shina/mzizi wa kitenzi unafaa kuwazia hali mbalimbali au kauli tofautitofauti za mnyambuliko wa kitenzi halafu ubainishe sehemu isiyobadilika.