Ludoviko askofu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alivyochorwa na Piero Della Francesca.
Ludoviko wa Toulouse (Brignoles, Provence, Ufaransa, au Nocera Inferiore, Italia, Februari 1274 – Toulouse 19 Agosti 1297) alikuwa mwana wa mfalme wa Napoli Charles wa Anjou, halafu mtawa wa Ndugu Wadogo na askofu wa Kanisa Katoliki.
Alitangazwa na Papa Yohane XXII kuwa mtakatifu tarehe 7 Aprili 1317.
Tanbihi [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
- Catholic Encyclopedia: St Louis of Toulouse
- Amelia Carr, "St Louis of Toulouse"
- Patron Saints: Louis of Toulouse
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ludoviko askofu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |