Ludovick John Mwanazila
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ludovick John Mwanazila (amezaliwa tar. 8 Januari 1950) ni mbunge wa jimbo la Kalambo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia[hariri]
Marejeo[hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Ludovick John Mwanazila (10 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |