Lucy Lawless
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Lucy Lawless |
|
|---|---|
|
|
|
| Jina la kuzaliwa | Lucille Frances Ryan |
| Alizaliwa | 2 Machi, 1968 |
| Miaka ya kazi | 1989 – Hadi leo |
Lucille Frances Ryan (amezaliwa tar. 2 Machi, 1968) ni mshindi wa Tuzo ya Emmy akiwa kama mwigizaji bora filamu wa Kinew Zealand. Amepata kufahamika baada ya kucheza katika tamthiliya ya Xena: Warrior Princess na Battlestar Galactica. Lawless pia ni mwanamuziki.
[hariri] Viungo vya nje
- Lucy Lawless kwenye Internet Movie Database
- Lucy Lawless katika TV.com
Wikimedia Commons ina media kuhusu: